
Bi Osima ana Shahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Rasilimali Watu kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha na Shahada ya Kwanza ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (B.Sc. ICT) kutoka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania. Pia ana Cheti cha Kompyuta na Teknolojia ya Habari kutoka Kituo cha Kompyuta cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (2008) na Stashahada ya Sayansi ya Kompyuta kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kwa sasa anahydumu kama Meneja wa Idara za Rasilimali watu, Tehamama na Utawala uwezo mpana wa kitaaluma wa Bi Osima, elimu thabiti na miaka ya huduma ya kujitolea vinaifanya kuwa rasilimali muhimu katika kuhakikisha uendeshaji mzuri wa shughuli za TEHAMA, Rasilimali Watu na Utawala wa Kampuni.