Skip to main content
Kwa pamoja tupo imara.

Ujumbe wa Afisa Mtendaji Mkuu

Tunawakaribisha katika tovuti ya Afriprise Investment PLC. Tunalenga kujenga thamani ya muda mrefu kwa wanahisa kupitia uwekezaji wenye mseto na usimamizi makini wa vihatarishi.

Kwa maelezo zaidi, wasiliana nasi kupitia info@afriprise.co.tz.

Peter W. KifunguomaliAfisa Mtendaji Mkuu

Kwa pamoja tupo imara.

Fahamu mbinu zetu za kujenga thamani ya muda mrefu kwa wanahisa.

Wasiliana nasi